Goodluck Gozbert – Ipo Siku | Official Music Video | Onlyinvesting.info



Goodluck Gozbert presents the music video for Ipo Siku

Subscribe to the channel:

Follow on Instagram:

Watch Goodluck Gozbert’s New EP “USHINDI”:

IPO SIKU Lyrics

Ni mbali nimetoka Tena ni ajabu kuwa hai
Maana ningeshakufaga
Ni mengi nimeona
Tena ya kuvunja moyo
Labda ningeshamwacha Mungu

Na Kama ni misongo ya mawazo Magonjwa mama
nimepitia ninazoea
Maumivu ya kudharauliwa, umasikini
kila siku, ninajipa moyo

Ipo siku yangu tu,
Ipo Siku, siku
Ipo siku yangu tu
Nami niba niba nibarikiwe,
Ipo siku yangu tu,
Ipo Siku, siku
Ipo siku yangu tu

Nami niba niba nibarikiwe
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe)
niba, niba, nibarikiwe
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe)
niba, niba, nibarikiwe

Ingawa kwa sasa wananisema vibaya,
Nami sishangai – najua ni ya wanadamu hayo.
Ingawa sipati na ni kwa muda mrefu
Siachi kuomba; Mungu si kiziwi.
Binadamu wema, ukiwa nacho
Kwa sasa waniepuka sina rafiki wa dhati.
Ooh Kama ni misongo ya mawazo
Magonjwa mama, nimepitia, ninazoea
Maumivu ya kudharauliwa, umasikini

Ni kila siku, ninajipa moyo
Ipo siku yangu tu,
Ipo Siku, siku
Ipo siku yangu tu
Nami niba niba nibarikiwe,
Ipo siku yangu tu,
Ipo Siku, siku
Ipo siku yangu tu

Nami niba niba nibarikiwe,
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe)
niba, niba, nibarikiwe
Nami nibarikiwe (nibarikiwe)
Ah nibarikiwe (nibarikiwe)
Oh nami nibarikiwe (nibarikiwe)
niba, niba, nibarikiwe

Miaka imepita, unaombaga mtoto hupati
Vuta subira maana Yeye hachelewi
Ona biashara imeandamwa mikosi hupati
Usimwache Mungu, waganga watakuponza
Mpo kwa ndoa ila nyumbani amani hakuna
Msimwache Mungu – michepuko sio jibu
Umeugua tumaini la kupona hakuna
Usimtazame mwanadamu siku yako imekaribia.

Najua Ayaya
Najua ayaya
Najua ayaya niko poa
Najua Ayaya
Najua ayaya
Najua ayaya niko poa
Misukosuko ya ndoa
Mtoto anakusumbua

Giza likiingia unawaza wapi utalala
Masimango Mashemeji, ati huzai mtoto
Masimango mama wa kambo, Umemchosha nyumbani
Usiwaze usiumie, najua yote yatapita
Siku imekaribia, najua yote yatapita (uba uba ubarikiwe)
Nawe ubarikiwe, ubarikiwe
Ah ubarikiwe ubarikiwe
Nawe ubarikiwe ubarikiwe
uba uba ubarikiwe
Nawe ubarikiwe, ubarikiwe
Ah ubarikiwe ubarikiwe
Nawe ubarikiwe ubarikiwe
uba uba ubarikiwe

Related Post

39 thoughts on “Goodluck Gozbert – Ipo Siku | Official Music Video | Onlyinvesting.info”
  1. I remember when I got married in 2021 after some few months people started saying that I wouldn't get pregnant because my husband is a PWD.Every morning when I woke up I used to listen to this song,guess what now "Am a mom now"this song is a true definition of my story

  2. Huu wimbo unanikumbusha mbali sana wakati Mama yangu anapambana na madeni, Baba hayupo nyumbani na hakuna chakula. sikuchoka kuusikiliza wimbo huu kwani niliamini ipo siku Mungu atafanya kila kitu kitakua sawa. Na leo baada ya miaka 7 nimerudi kushuhudia ukuu wa Mungu

  3. Nikiskiza nyimbo zako walai mwili wa sisimuka waaaaaah zikona furaha na uponaji ubarikiwe sana my brother 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤❤❤ipo siku yangu tu nami ni barikiwe ewe mola nibariki ni jengeee mzazi wangu japo kuwa sina huyo mwengine ila mola yuko kunitetea ,mama nakupenda sana mola ailaze roho yako mahali pema peponi 😢😢😢😢😢amin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *